Mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanatarajia kuanza rasmi kesho huko Zanzibar ambapo timu za Yanga, Mafunzo, Mtibwa na Azam zitashuka dimbani.
Yanga itakata utepe na Mafunzo majira ya saa 10 jioni huku Azam akikipiga na Mtibwa Sugar kuanzia saa 2:15 usiku.
Michuano hiyo ina makundi mawili pekee ambapo kundi A lina timu za Simba,Jamhuri, JKU na URA na kundi B lina Yanga, Mtibwa, Azam na Mafunzo.
RATIBA KAMILI

0 comments:
Post a Comment