SAMATTA ASAINI GENK MIAKA MINNE NA KUTAMBULISHWA

Samatta sasa ni mchezaji rasmi wa Genk ya Ubelgiji baada ya leo kutambulishwa rasmi na klabu hiyo.

Samatta atatumikia timu hiyo kwa miaka minne.

Jumatano usiku Samatta alisafiri kuelekea Ubelgiji kukamilisha usajili wake pamoja na kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuanza rasmi majukumu yake akiwa na klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Ubelgiji maarufu kama Belgian Pro League.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment