SAMATTA ASHINDA TUZO YA MWANASOKA BORA AFRIKA

Mbwana Ally Samatta ndiyo wanasoka bora Afrika kwa wale wanaocheza ndani ya bara hili.

Samatta ameibuka mwanasoka bora kwa kuwashinda Muteba Kadiaba ambaye ni kipa mkongwe wa TP Mazembe na Bounedjah Baghdad wa Algeria anayekipiga Etoile du Sahel.

Samatta ametwaa tuzo hiyo kwenye utoaji utoaji tuzo za wachezaji bora zilizofanyika usiku wa Alhamis Lagos Nigeria.

Watanzania wengi walikuwa wakisubiri kwa hamu kufanyika kwa tuzo hizo ili Samatta aweke rekodi barani Afrika.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment