Kocha mkuu wa Real Madrid Rafael Benitez ametimuliwa rasmi.
Benitez amechukuliwa hatua hiyo kufuatia uongozi kutoridhishwa na mwenendo wa timu.
Jana Real Madrid ilibanwa mbavu na Valencia kwa sare ya 2-2.
Imeripotiwa kwamba nafasi ya Benitez itachukuliwa na Zinedine Zidane Zizou.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment