VIDEO: ANGALIA BAO LA MTIBWA LILILOKATALIWA

Hapo jana usiku mwamuzi wa mechi ya Kombe la Mapinduzi kati ya Mtibwa na Azam alikataa bao la pili la Mtibwa lililofungwa kwa kichwa na Kichuya aliyeunganisha krosi ya Baba Ubaya kwa madai kwamba mfungaji aliotea.

Hali hiyo ilizua tafrani uwanjani hapo na kuleta gumzo kwa watazamaji.Kama hukuliona bao hilo, bonyeza video hiyo hapo juu.

NB: VIDEO NI KWA HISANI YA AYO TV

Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment