Timu ya soka ya Real Madrid usiku huu imelala nyumbani Santiago Bernabeu baada ya kuchabangwa mabao 4-0 na mahasimu wao Barcelona katika mechi ya Ligi Kuu nchini Hispania.
Mabao ya Barca yamefungwa na Suárez 11'Neymar 39' Iniesta 53'Suárez 74'
Kwa matokeo hayo Barcelona inazidi kujikita kileleni kwa pointi 6 zaidi ya Real Madrid
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment