ARSENAL NYANG'ANYANG'A

Arsenal imeshindwa kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi kuu England usiku wa Jumamosi baada ya kujikuta ikibamizwa na Southampton 4-0.

Arsenal yenye pointi 36 ilipaswa kushinda ili kuiengua kileleni Leicester City inayoongoza ligi kwa pointi 38.

Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment