CHELSEA YAANZA KUNOGA EPL

Chelsea leo imeonyesha kwamba inazidi kuimarika baada ya kuinyuka Crystal Palace mabao 3-0.

Mabao ya Chelsea yamefungwa na Oscar, 29, Willian, 60 na Diego Costa, 66.

Willian alikuwa shujaa baada ya kufunga bao na kisha kutoa pasi ya bao.

Chelsea imezidi kumuumbua kocha Jose Mourinho kwa kucheza kandanda safi leo hii chini ya Guus Hiddink.

Licha ya ushindi huo Chelsea bado imebaki nafasi ya 14 ikiwa na pointi 23 na kukimbia janga la kushuka daraja.

Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment