VAN GAAL ASAHAU MAJANGA YAKE

Kocha mkuu wa Manchester United Louis van Gaal amesema ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Swansea ni ishara ya mwanzo mzuri kwa mwaka 2016.

United haijashinda katika mechi zake nane zilizopita na kufanya iwe na rekodi mbovu tangu ilipofanya hivyo mwaka 1990.

Ushindi wa jana unaifanya United ikaribie kurejea kwenye nne bora.

"Ninaamini huu ni mwanzo mzuri kwetu"

Jana Van Gaal alimchezesha Ashley Young katika nafasi ya wing back kama sehemu ya kiungo mshambuliaji huku Phil Jones, Daley Blind na Chris Smalling wakicheza kama mabeki watatu.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment