YANGA ITAKAYOIVAA DE JOACHIM HII HAPA

Yanga jioni ya leo inashuka dimbani kukipiga na Cercle de Joachim ya Mauritius katika mchezo wa marudiano wa klabu bingwa Afrika kwenye dimba la Taifa jijini Dar es salaam.

Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Cercle de Joachim leo ni.....

1. Ali Mustafa
2. Juma Abdul.
3 . Mwinyi Haji
4. Kevin Yondani.
5. Vincet Bossou.
6 . Mbuyu Twite.
7. Saimon Msuva
8. Thabani Kamusoko.
9 . Amissi Tambwe
10. Malimi Busungu.
11 . Deus Kaseke.

Kikosi cha akiba ni
1. Deo Munishi
2. Oscar Joshua.
3 .Pato Ngonyani.
4 .Nadir Haroub
5. Mateo Anthony.
6. Paul Nonga.
7 . Geofrey Mwashiuya.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment