Yanga imeimemaliza ubishi kwa kuifunga Simba 2-0
kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa jioni ya leo uwanja wa Taifa
jijini Dar es salaam.
WAFUNGAJI
Donald Ngoma dk 39
Amis Tambwe dk 72
MASHUTI
YALIYOLENGA LANGO
Yanga – imepiga mashuti sita
Simba- imepiga mashuti matano
MASHUTI
YALIYOKWEPA LANGO
Yanga – imepiga sita
Simba- imepiga saba
KONA
Yanga imepata kona moja
Simba imepata kona nane
FAULO
Yanga imecheza faulo 14
Simba ina faulo 13
KADI
ZA NJANO
Yanga ina kadi tatu
Simba ina kadi mbili
KADI
NYEKUNDU
Yanga haikupata
Simba imepata moja(Abdi Banda)
0 comments:
Post a Comment