ANGALIA JINSI MASHABIKI WALIVYOJITOKEZA KUILAKI YANGA

Kikosi cha Yanga kimewasili mchana wa leo( Mei 20,2016) kikitokea nchini Angola.

Juzi Yanga ilifanikiwa kusonga mbele kwa kutinga kwenye hatua ya nane bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa mabao 1-0 huko nchini Angola na wenyeji Sagrada Esperanca.

Katika mchezo wa kwanza Yanga ilishinda mabao 2-0



Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment