BEKI Mkongomani anayeweza kucheza nafasi za kiungo pia, Mbuyu Junior Twite ameongeza Mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea Yanga, lakini kiungo kutoka Niger Issoufou Boubacar Garba amepewa barua ya kuvunjiwa Mkataba.
Twite ameongeza mkataba huo jana Jumanne baada ya kuonyesha uwezo mkubwa katika msimu uliopita.
Twite ameongeza mkataba huo jana Jumanne baada ya kuonyesha uwezo mkubwa katika msimu uliopita.
0 comments:
Post a Comment