Ligi kuu ya kandanda nchini Uingereza inaendelea
tena Jumamosi ya leo ya Disemba 26 katika viwanja mbalimbali kama ratiba inavyoonyesha
hapo.
Stoke v Man Utd 12:45
Aston Villa v West Ham 15:00
Bournemouth v Crystal Palace 15:00
Chelsea v Watford 15:00
Liverpool v Leicester 15:00
Man City v Sunderland 15:00
Swansea v West Brom 15:00
Tottenham v Norwich 15:00
Newcastle v Everton 17:30
Southampton v Arsenal 19:45
NB; KULINGANA NA MAJIRA YA SASA BARANI ULAYA, 12 NI SAWA NA SAA 10 JIONI KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI,15 NI SAWA NA SAA 12 JIONI, 17 NI SAWA NA 2 USIKU NA 19 NI SAWA NA SAA 4 USIKU
0 comments:
Post a Comment