Bondia Thomas Mashali mwenye bukta nyekundu (kushoto) na Cheka(kulia) wakiwa wameshikwa mikono na mwamuzi wa pambano Ali Bakari Champion wakati wa pambano hilo usiku wa Ijumaa |
Bondia Francis Cheka usiku wa Ijumaa(Disemba 25)
ameshindwa kufua dafu mbele ya Thomas Mashali baada ya kujikuta akipigwa kwa
pointi.
Pambano hilo lilifanyika kwenye uwanja wa Jamhuri
mjini Morogoro huku lengo likiwa ni kumaliza ubishi wa muda mrefu.
Pia lengo lingine lilikuwa ni kuwapa burudani
mashabiki wa masumbwi hasa katika sikukuu ya Krismasi.
0 comments:
Post a Comment