Manchester United jioni ya leo (Dis 26) wameendelea kuburuzwa baada ya kufungwa na Stoke City mabao 2-0.
Kichapo hicho kinazidi kuiweka pabaya nafasi ya kocha Louis van Gaal ambaye amekuwa akipigiwa kelele za kutakiwa kuondoka klabuni hapo.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment