Ligi Kuu soka nchini Uingereza imeendelea leo Jumamosi (Januari 2)kwa
mechi kadhaa ambapo..
West
Ham 2 - 0 Liverpool FT
Mabao ya West Ham yamefungwa na Antonio 10′ Carroll
55′
Arsenal
1 - 0 Newcastle FT
Mfungaji wa Arsenal ni Koscielny 72′
Leicester
0 - 0 Bournemouth FT
Man
Utd 2 - 1 Swansea FT
Mabao ya Man U yamefungwa na Martial 47′ na Rooney
77′ huku la Sswansea likifungwa na Sigurdsson 70′
Norwich
1 - 0 Southampton FT
Sunderland
3 - 1 Aston Villa FT
West
Brom 2 - 1 Stoke FT
0 comments:
Post a Comment