Wachezaji wa Kitanzania Abuu Ubwa na Haruna Chanongo jana wameanza rasmi majaribio ya wiki mbili katika klabu ya TP Mazembe ya Congo DR.
Hiyo ni kwa mujibu wa tovuti ya klabu hiyo kupitia taarifa iliyoiweka mapema leo.
Wachezaji hao wa Stand United ya Shinyanga waliondoka mwishoni mwa wiki iliyopita kwenda huko.

0 comments:
Post a Comment