Timu ya soka ya Arsenal usiku wa jana Jumanne imeshindwa kutamba kwenye uwanja wa nyumbani wa Emirates kwa kuchapwa 2-0 na Barcelona katika muendelezo wa mechi za hatua ya 16 bora za Klabu Bingwa Ulaya.
Nayo Juventus ikiwa nyumbani imebanwa sare ya 2-2 na Bayern Munich.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment