SERENGETI BOYS YATWAA NAFASI YA TATU AIFF

Serengeti Boys wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Malaysia katika mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu katika michuano ya vijana ya AIFF ya nchini India.

Ushindi huo unaipa Serengeti Boys nafasi ya tatu kupitia mabao matatu yaliyofungwa na Rashid Abdallah katika dakika ya 13, Shabani Zubeiri katika dakika ya 41 na  Mushin Malima akamalizia bao la tatu katika dakika za lalasalama za kipindi cha 
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment