MAN UTD YAMTANGAZA RASMI MOURINHO

Kocha Jose Mourinho sasa rasmi ni kocha wa Manchester United baada ya uongozi wa klabu hiyo, kumtangaza.

Makamu Mwenyekiti wa Manchester United, Ed Woodward  ametangaza wao kuingia mkataba wa miaka minne na kocha huyo raia wa Ureno.

Mkataba huo utakuwa na gharama ya pauni milioni 45 katika kipindi cha miaka mitatu na tayari inaelezwa ametengewa kitita cha pauni milioni 200 kwa ajili ya usajili na masharti ni kubeba ubingwa wa England.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment