UCHAGUZI YANGA WAENDELEA HIVI SASA

Mkutano mkuu wa uchaguzi wa viongozi wa klabu ya Yanga umeanza asubuhi ya leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.

Tayari wanachama wamefurika katika ukumbi huo ili kupata haki yao ya kupiga kura.

Zifuatazo ni picha mbalimbali za yale yanayoendelea huko pamoja na ratiba ya leo.





Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment