Michuano ya Copa Amerika imeendelea tena alfajiri ya
leo kule Marekani ambapo…
Marekani
4-0 Costa Rica
Mabao ya Marekani yamefungwa na Dempsey dakika ya 9
kwa njia ya penati, Jones dakika ya 37, Wood dakika ya 42 na Zusi dakika ya 87.
Colombia
2 - 1 Paraguay
Mabao ya Colombia yamefungwa na Carlos Bacca dakika
ya 12 na James Rodriguez dakika ya 30 huku la Paraguay likifungwa na Ayala
dakika ya 71.
Kesho Brazil atakwaana na Haiti huku Equador
ikitarajiwa kukipiga na Peru.
0 comments:
Post a Comment