MAGULI AFUNGUKA JUU YA MADAI YA KUWANIWA NA SIMBA SC

Na Arone Mpanduka

Kufuatia kuhusishwa na taarifa za kutaka kurejea tena katika timu ya Simba, mshambuliaji wa Stand United Elias Maguli amevitolea uvivu baadhi ya vyombo vya habari kwa kusema kwamba vinamchonganisha na timu yake ya zamani.

Hivi karibuni Simba iliachana na mshambuliaji huyo na kumlazimu ajiunge na Wapiga debe hao wa Shinyanga na kutisha katika ufungaji mabao.

Na ifuatayo ni taarifa yake aliyoitoa kupitia ukurasa wake wa facebook.

Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment