MATOKEO YA LEICESTER NA MAN CITY YAPO HAPA

Ligi kuu soka England iliendelea usiku wa jana kwa mchezo mmoja kati ya Leicester City na Manchester City kwenye dimba la King Power.

Katika mchezo huo hakukuwa na mbabe kwani timu zote zilitoka suluhu ya 0-0.

Suluhu hiyo imeipa nafasi Arsenal ya kuendelea kupumua kileleni kwa pointi zake 39 na kuizidi kwa magoli Leicester City ambayo ipo nafasi ya pili kwa pointi hizo hizo 39.



Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment