Serikali imeahidi kumuunga mkono mshambuliaji wa klabu ya TP Mazembe ya Congo DR na timu ya Taifa Stars Mbwana Samatta.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye amemuambia Samatta leo mbele ya waandishi wa habari kwamba Serikali itakuwa nyuma yake kwa kila jambo atakalofanya.
Samatta alizuru kwenye Wizara hiyo kwa lengo la kuzungumza mambo machache na Waziri Nape Nnauye.
Pia ampongeza Nape kwa kushinda ubunge na hatimaye kuwa Waziri.

0 comments:
Post a Comment