MESSI ALAMBA TENA TUZO NYINGINE

Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi usiku wa Disemba 27 mwaka huu ametajwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2015 (Globe Soccer Awards) inayotolewa kila mwaka.

Globe Soccer Awards 2015 zilizotolewaDubai ni tuzo maalum kwa ajili ya wanasoka, viongozi bora wa klabu, wakala bora, kocha bora.

Hizi ni tuzo ambazo zinatolewa kwa uandaaji au ushirikiano wa chama cha mawakala wa wachezaji soka barani Ulaya EFAA (European Association of Player’s Agents) na umoja wa vilabu vya soka barani Ulaya  ECA (European Club Association).

 Hii ndio orodha ya washindi wa tuzo hizo kwa mwaka 2015

Lionel Messi (Mchezaji bora wa mwaka)

FC Barcelona (Klabu bora kwa mwaka)

Jorges Mendes (Wakala bora wa mwaka)

Marc Wilmots (Kocha bora wa mwaka)

S.L BENFICA (Acadeny bora ya mwaka)

Ravshan Irmatov (Refa bora wa mwaka)

Josep Maria Bartomeu (Rais bora wa klabu)

Andrea Pirlo (Life time Archivement)

Frank Lampard (Life time Archivement
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment