Ligi kuu soka Tanzania Bara imeendelea leo kwa michezo miwili ambapo Azam ilikuwa Chamazi ikimualika Kagera Sugar na Toto Africans ilikuwa CCM Kirumba Mwanza kuialika African Sports.
Azam iliweza kuinyuka Kagera mabao 2-0 yaliyofungwa na Kipre Tchetche na Shomary Kapombe.
Naye Toto akiwa nyumbani alijikuta akitandikwa bao 1-0.
Licha ya ushindi Azam bado imebaki nafasi ya pili ikiwa na pointi 32 nyuma ya Yanga inayoongoza kwa pointi 33.

0 comments:
Post a Comment