MAN CITY APIGWA NA EVERTON

Klabu ya soka ya Everton usiku wa jana Jumatano imefanikiwa kuchomoza na ushindi katika michuano ya kombe la Ligi Nchini Uingereza baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Manchester city .

Wachezaji Funes Mori na Romelu Lukaku ndio ndio waliokuwa mashujaa katika uwanja wa Goodson Park baada ya kuiwezesha Everton kuchomoza na ushindi huo.

Baada ya michezo hiyo ya Nusu Fainali ya kwanza michuano hiyo itaendelea tena kwa mechi za marudiano kati ya Januari 26 au 27 ambapo Livrpool watakuwa wenyeji wa Stoke City katika uwanja wa Anfield na Man City watawakaribisha Everton katika dimba la Etihad.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment