MESSI AFANYA YAKE COPA DEL REY

Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Lionel Messi amekuwa shujaa baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Espanyol katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey uliopigwa katika Uwanja wa klabu hiyo wa Nou Camp.

Katika ushindi wa mabao hayo manne wachezaji wengine walio iwezesha timu hiyo kushinda ni Gerard Pique na Neymar Da silva, wakati bao pekee la Espanyol likifungwa na Felipe Caicedo.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment