Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta usiku wa jana ameichezea timu yake ya KRC Genk kwa mara ya pili katika mechi ya Ligi Kuu Ubelgiji.
Samatta anayevaa jezi namba 77 aliingia katika dakika ya 77 wakati Genk ikiivaa Waasland na kuichapa kwa mabao 6-1.
Alichukua nafasi ya Nikos Karelis aliyekuwa amefunga mabao mawili kati ya sita ya Genk.

0 comments:
Post a Comment