KUIONA YANGA NA TP MAZEMBE NI BURE, HAKUNA KIINGILIO

Uongozi wa Yanga umeamua mechi yao dhidi ya TP Mazembe Jumanne itakuwa bure.

Mashabiki wataingia bila kulipa kiingilio kushuhudia mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro, lengo ni kuwafanya Watanzania wajitokeze kwa wingi siku hiyo kuisapoti Yanga.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment