MASHABIKI YANGA 'WAAMKIA'UWANJANI

Mashabiki mbalimbali wa Yanga tayari wamejitokeza kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam wakisubiri muda wa kufunguliwa milango.

Milango ya kuingilia uwanjani itafunguliwa saa tano asubuhi hii.

Mashabiki hao wapo tangu alfajiri wakisubiri kupewa utaratibu wa kuingia uwanjani kushuhudia mechi ya kombe la Shirikisho kati ya Yanga na TP Mazembe




Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment