MESSI ASTAAFU KUICHEZEA ARGENTINA

Kufuatia timu yake ya Argentina kutoka kapa katika fainalo za Copa America, mshambuliaji nyota wa timu hiyo Lionel Messi ametangaza kutoichezea tena timu hiyo.

Messi ametoa tamko hilo muda mchache baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Copa America ambayo Argentina ilinyukwa kwa penati 4-2 huku yeye akikosa kukwamisha wavuni mkwaju mmoja alfajiri ya leo Jumatatu.

Messi anastaafu kuichezea Argentina huku akiwa ameitumikia bila mafanikio yoyote ikilinganishwa na nguli wengine.

Wakati huohuo Javier Mascherano naye ametangaza kistaafu kuichezea timu hiyo.
Share on Google Plus

About MPANDUKA BLOG

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment