Mechi mbalimbali za Ligi ya mpira wa kikapu nchini
Marekani zimepigwa usiku wa jana ambapo…
Memphis
Grizzlies 84-100 Golden State Warriors
Katika mchezo huo nyota wa Golden State, Stephen
Curry amefunga pointi 28, pasi 5 na ribaundi 5.
Dallas
Mavericks 118- 108 Clippers
Katika mchezo huo Dirk Nowitzki amefunga pointi 31
Lakers
99-101 Orlando Magic
Shabazz Napier aliiongoza Orlando akiwa na pointi 22 na Evan Fournier
aliongeza 16. Orlando Magic walipata
pointi 65 kutoka katika benchi lao, ikiwa ni pamoja na Vucevic kufunga
pointi 18.
Nyota wa
Lakers Kobe Bryant hakuwepo mchezoni, amekosa mchezo wake wa pili
mfululizo kutokana na majeraha ya mgongo.
Spurs san Antonio 113-101 Blazers
Trail
Aldridge
alifunga pointi 23 kuongoza timu yake mpya, Spurs San Antonio, kwa ushindi huo
usiku wa jana.
0 comments:
Post a Comment